Unyonge

Nax Melody

Release.

Unyonge

Single Image

Tracklist.

Track cover
Jojina
Nax Melody Jojina
Track cover
Jojina
Nax Melody Jojina

Details.

"Unyonge" by Nax Melody sounds like an exciting rap track from Tanzania's Bongofleva music scene. Nax Melody, whose real name is Salim Omary, is a talented rapper and vocalist known for his lyrical skills and versatility as a dancer and singer. This song was released in 2022 as the first single from his upcoming EP.

"Unyonge" is praised for its impressive lyrics, well-crafted verses and chorus, captivating melody, and brilliant instrumentals, making it a certified hip-hop/rap masterpiece. It seems like a track that's worth giving a listen to if you enjoy Tanzanian rap music.

Nax Melody - Unyonge Lyrics

Muda mwengine nafsi inahitaji tuliaa
Vile hata mwili nao unahitaji pumzikaa
Zile stress zakazini mamy we ndio wa kuzitoaa
Purukushani za nini honey jua unaniboaa
Kutwa kugombana kugombana
Matusi kutukana kutukana
Purukushani kutwa kucha nzimaa kipenziiii
Tushaanza kulogana kulogana
Na nazi kupasuliana kupasuliana
Kuku kuchinjiana chinjianaa
Tutauwana bureee
Mi nimefunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
Nikukuudhi am sorry tuepuke ya ujanaa
Mi nimefunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
Nikukuudhi am sorry ruepuke ya ujanaa

Penzi la mnyonge
acha niwe mnyongee
Penzi la mnyonge
acha niwe mnyongee

Nikisema nikuache namuachia nanii
Nikisema nikutupe bado utabaki moyoni
Basi rudi nyumbani kipenzi hasira za ninii
Uenda ile mistake stake usijitie ubayanii
Hata pombe nitaacha bangi sitovutaa
Isije penzi likachachaa mwishow ukanitupaa
Hata pombe nitaacha bangi sitovutaa
Isije penzi likachachaa mwishow ukanitupaa
Mi nimefunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
Nikukuudhi am sorry tuepuke ya ujanaa
Mi nimefunzwa kupenda sio kupigaa(kupiganaa)
Nikukuudhi am sorry ruepuke ya ujanaa

Penzi la mnyonge
acha niwe mnyongee
Penzi la mnyonge
acha niwe mnyongee